sw_luk_text_ulb/22/59.txt

1 line
235 B
Plaintext

\v 59 Baada ya kama saa moja hivi, mwanaume mmoja akasisitiza akasema, "Kweli kabisa huyu mtu pia alikuwa pamoja naye, maana ni Mgalilaya." \v 60 Lakini Petro akasema, "Mwanaume, sijui usemalo." Na mara, wakati akiongea, jogoo akawika.