sw_luk_text_ulb/22/52.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 52 Yesu akasema kwa kuhani mkuu, na kwa wakuu wa hekalu, na kwa wazee waliokuja kinyume chake, "Je mnakuja kana kwamba mnakuja kupambana na mnyang'anyi, na marungu na mapanga? \v 53 Nilipokuwa pamoja nanyi siku zote kwenye hekalu, hamkuweka mikono yenu juu yangu. Lakini hii ni saa yako, na mamlaka ya giza."