sw_luk_text_ulb/22/47.txt

1 line
239 B
Plaintext

\v 47 Wakati alipokuwa bado akiongea, tazama, kundi kubwa la watu likatokea, na Yuda, mmoja wa mitume kumi na wawili akiwaongoza. Akaja karibu na Yesu ili ambusu, \v 48 lakini Yesu akamwambia, "Yuda, je unamsaliti Mwana wa Adamu kwa busu?"