sw_luk_text_ulb/22/45.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 45 Wakati alipoamka kutoka katika maombi yake, alikuja kwa wanafunzi, na akawakuta wamelala kwa sababu ya huzuni yao, \v 46 na akawauliza, "Kwanini mnalala? Amkeni muombe, kwamba msiingie majaribuni."