sw_luk_text_ulb/22/43.txt

1 line
181 B
Plaintext

\v 43 Kisha malaika kutoka mbinguni akamtokea, akamtia nguvu. \v 44 Akiwa katika kuugua, akaomba kwa dhati zaidi, na jasho lake likawa kama matone makubwa ya damu yakidondoka chini.