sw_luk_text_ulb/22/39.txt

1 line
213 B
Plaintext

\v 39 Baada ya chakula cha usiku, Yesu aliondoka, kama ambavyo amekuwa akifanya mara kwa mara, akaenda mlima wa Mzeituni, na wanafunzi wakamfuata. \v 40 Walipofika, aliwaambia, "Ombeni kwamba msiingie majaribuni."