sw_luk_text_ulb/22/35.txt

1 line
298 B
Plaintext

\v 35 Kisha Yesu akawaambia, "Nilipowapeleka ninyi bila mfuko, kikapu cha vyakula, ua viatu, je mlipungukiwa na kitu?" Wakajibu "Hakuna." \v 36 Kisha akawaambia, "Lakini sasa, kila mwenye mfuko, na auchukue pamoja na kikapu cha vyakula. Yule ambaye hana upanga imempasa auze joho lake anunue mmoja.