sw_luk_text_ulb/22/19.txt

1 line
326 B
Plaintext

\v 19 Kisha akachukua mkate, na alipokwisha kushukuru, akaumega, na kuwapa, akisema, "Huu ni mwili wangu ambao umetolewa kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi." \v 20 Akachukua kikombe vivyo hivyo baada ya chakula cha usiku akisema, "Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, ambayo imemwagika kwa ajili yenu.