sw_luk_text_ulb/22/17.txt

1 line
210 B
Plaintext

\v 17 Kisha Yesu akachukua kikombe, na alipokwisha kushukuru, akasema, "Chukueni hiki, na mgawane ninyi kwa ninyi. \v 18 Kwa maana nawaambia, sitakunywa tena mzao wa mzabibu, mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja."