sw_luk_text_ulb/22/12.txt

1 line
186 B
Plaintext

\v 12 Atawaonyesha chumba cha ghorofani ambacho kiko tayari. Fanyeni maandalizi humo." \v 13 Hivyo wakaenda, na wakakuta kila kitu kama alivyowaambia. Kisha wakaandaa chakula cha Pasaka.