sw_luk_text_ulb/22/10.txt

1 line
298 B
Plaintext

\v 10 Akawajibu, "Sikilizeni, mtakapokuwa mmeingia mjini, mwanamume ambaye amebeba mtungi wa maji atakutana na ninyi. Mfuateni kwenye nyumba ambayo ataingia. \v 11 Kisha mwambieni bwana wa nyumba, "Mwalimu anakwambia, "Kiko wapi chumba cha wageni, mahali ambapo nitakula Pasaka na wanafunzi wangu?"