sw_luk_text_ulb/11/53.txt

1 line
166 B
Plaintext

\v 53 Baada ya Yesu kuondoka pale, Waandishi na Mafarisayo walimpinga na kubishana naye juu ya mambo mengi. \v 54 wakimvizia, ili wapate neno litokalo kinywani mwake.