sw_luk_text_ulb/11/39.txt

1 line
272 B
Plaintext

\v 39 Lakini Bwana akawaambia, "Ninyi Mafarisayo mnaosha nje ya vikombe na bakuli, lakini ndani yenu mmejaa tamaa na uovu. \v 40 Ninyi watu msio na ufahamu, Je yeye aliyeumba nje hakuumba na ndani pia? \v 41 Wapeni masikini yaliyo ndani, na mambo yote yatakuwa safi kwenu.