sw_luk_text_ulb/11/29.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 29 Wakati umati wa watu wanakusanyika na kuongezeka, Yesu akaanza kusema " Kizazi hiki ni kizazi cha uovu. Hutafuta ishara, na hakuna ishara watayopewa zaidi ya ile ishara ya Yona. \v 30 Maana kama Yona alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninawi, ndivyo na Mwana wa Adamu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki