sw_luk_text_ulb/11/27.txt

1 line
274 B
Plaintext

\v 27 Ilitokea kwamba alipokuwa akisema maneno hayo, mwanamke fulani alipaza sauti yake zaidi ya wote kwanye mkutano wa watu na kusema " Limebarikiwa tumbo lililo kuzaa na matiti uliyoyanyonya" \v 28 Lakini yeye akasema, wamebarikiwa wale wasikio neno la Mungu na kulitunza.