sw_luk_text_ulb/11/16.txt

1 line
207 B
Plaintext

\v 16 Wengine walimjaribu na kumtaka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. \v 17 Lakini Yesu aliyatambua mawazo yao na kuwaambia, "Kila ufalme utakaogawanyika itakuwa ukiwa, na nyumba iliyo gawanyika itaanguka.