sw_luk_text_ulb/11/11.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 11 Ni baba yupi miongoni mwenu, mwanaye akimuomba samaki atampa nyoka badala yake.? \v 12 Au akimuomba yai atampa nge?. \v 13 Kwa hiyo, ikiwa ninyi mlio waovu mnajuwa kuwapa watoto wenu zawadi nzuri, je si zaidi sana Baba yenu wa mbinguni kwamba atawapa Roho Mtakatifu hao wamuombao?"