\v 49 Alipokuwa akiendelea kusema, mtu mmoja akaja kutoka kwenye nyumba ya kiongozi wa sinagogi, akisema, "Binti yako amefariki. Usimsumbue mwalimu." \v 50 Lakini Yesu aliposikia hivyo, alimjibu, "Usiogope. Amini tu, na ataokolewa."