\v 45 Mwalimu mmoja wa sheria za Kiyahudi akamjibu na kumwambia, "Mwalimu, unachokisema kinatuudhi pia sisi." \v 46 Yesu akasema, "Ole wenu, waalimu wa sheria! kwani mnawapa watu mizigo mikubwa wasiyoweza kuibeba, walakini ninyi hamgusi mizigo hiyo hata kwa moja ya vidole vyenu.