Fri Apr 29 2022 08:45:15 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-29 08:45:16 +03:00
parent e278a6638b
commit e4b3c1ac7c
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 kwa wakati huo aliowaponya watu wengi kutoka katika magonjwa na mateso, kutoka kwa roho wachafu, na kwa watu wenye upofu aliwapa kuona. \v 22 Yesu akajibu na kusema kwao. "Baada ya kuwa mmekwenda mlikotoka mtamjulisha Yohana mlichokiona na kukisikia. Wenye upofu wanapokea kuona na viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa na kuwa hai tena, masikini wanaambiwa habari njema. \v 23 Na mtu ambaye hataacha kuniamini mimi kwa sababu ya matendo yangu amebarikiwa".