Mon May 02 2022 09:24:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-02 09:24:32 +03:00
parent 1ac82e9045
commit 9a67fe0f91
3 changed files with 3 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 14 Na mbegu zile zilizoangukia kwenye miiba ni watu wanaosikia neno, lakini wanapoendelea kukua hudumazwa na huduma na utajiri na ubora wa maisha haya na hawazai matunda. \v 15 Lakini zile mbegu zilizoangukia kwenye udongo mzuri ni wale watu, ambao ni wanyeyekevu na mioyo mizuri, baada ya kulisikia neno hulishikilia na likawa salama na kuazaa matunda ya uvumilivu.
\v 14 Na mbegu zile zilizoangukia kwenye miiba ni watu wanaosikia neno, lakini wanapoendelea kukua hudumazwa huduma na utajiri na ubora wa maisha haya na hawazai matunda. \v 15 Lakini zile mbegu zilizoangukia kwenye udongo mzuri ni wale watu, ambao ni wanyeyekevu na mioyo mizuri, baada ya kulisikia neno hulishikilia na likawa salama na kuazaa matunda ya uvumilivu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 Sasa, hakuna hata mmoja, anayewasha taa na kuifunika kwa bakuli au kuiweka chini ya kitanda. Badala ya kuiweka kwenye kinara cha taa ili kwamba kila mmoja anayeingia apate kuiona. \v 17 Kwa kuwa hakuna kitakachojificha ambacho hakitajulikana, au chochote kilicho sirini ambacho hakitajulikana kikiwa kwenye mwanga. \v 18 kwa hiyo kuwa makini unapokuwa unasikiliza. Kwa sababu aliye nacho, kwake ataongezewa zaidi, lakini asiye nacho hata kile kidogo alicho nacho kitachukuliwa."
\v 16 Sasa, hakuna hata mmoja, anayewasha taa na kuifunika kwa bakuli au kuiweka chini ya kitanda. Badala ya kuiweka juu ili taa ili kwamba kila mmoja anayeingia apate kuiona. \v 17 Kwa kuwa hakuna kitakachojificha ambacho hakitajulikana, au chochote kilicho sirini ambacho hakitajulikana kikiwa kwenye mwanga. \v 18 kwa hiyo kuwa makini unapokuwa unasikiliza. Kwa sababu aliye nacho, kwake ataongezewa zaidi, lakini asiye nacho hata kile kidogo alicho nacho kitachukuliwa."

View File

@ -188,7 +188,7 @@
"08-07",
"08-09",
"08-11",
"08-16",
"08-14",
"09-03",
"09-05",
"09-07",