Thu Apr 21 2022 09:39:13 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-21 09:39:14 +03:00
parent 1cce832797
commit 7713d1bd88
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 25 Tazama, mwalimu fulani wa sheria ya Kiyahudi alisimama na kumjaribu, akisema, "Mwalimu, nifanye nini niurithi izima wa milele?" \v 26 Yesu akamwambia, "Kimeandikwa nini katika sheria? Unaisoma je?" \v 27 Akajibu akasema, "Utampenda Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote, na jirani yako kama nafsi yako mwenyewe." \v 28 Yesu akasema, "Umejibu kwa usahihi. Fanya hivi na utaishi."
\v 25 Tazama, mwalimu fulani wa sheria ya Kiyahudi alisimama na kumjaribu, akisema, "Mwalimu, nifanye nini niurithi uizima wa milele?" \v 26 Yesu akamwambia, "Kimeandikwa nini katika sheria? Unaisoma je?" \v 27 Akajibu akasema, "Utampenda Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote, na jirani yako kama nafsi yako mwenyewe." \v 28 Yesu akasema, "Umejibu kwa usahihi. Fanya hivi na utaishi."