Mon Apr 25 2022 10:33:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-25 10:33:24 +03:00
parent ad938498d7
commit 6e03ddc23a
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 42 Akapaza sauti yake na kusema kwa sauti kuu, "umebarikiwa wewe zaidi miongoni mwa wanawake, na mtoto aliyemo tumboni mwako amebarikiwa. \v 43 Na imekuwaje kwangu kwamba, mama wa Bwana wangu anijilie mimi? \v 44 Maana, iliposikika sauti ya kuamkia kwako, mtoto tumboni mwangu akaruka kwa furaha. \v 45 Na amebarikiwe mwanamke yule ambaye aliamini ya kwamba ungetokea ukamilifu wa mambo yale aliyoambiwa kutoka kwa Bwana."
\v 42 Akapaza sauti yake na kusema kwa sauti kuu, "umebarikiwa wewe zaidi miongoni mwa wanawake, na mtoto aliyemo tumboni mwako amebarikiwa. \v 43 Na imekuwaje kwangu kwamba, mama wa Bwana wangu anijilie mimi? \v 44 Maana, iliposikika sauti ya kuamkia kwako ilipoingia masikioni masikioni mwangu, akaruka kwa furaha. \v 45 Na amebarikiwe mwanamke yule ambaye aliamini ya kwamba ungetokea ukamilifu wa mambo yale aliyoambiwa kutoka kwa Bwana."