sw_lev_text_reg/23/23.txt

1 line
332 B
Plaintext

\v 23 Yahweh akazungumza na Musa, akisema, \v 24 "Zungumza na watu wa Israeli na uwaambie, "Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza itakuwa siku ya pumzika makini kwa ajili yenu, kumbukumbu pamoja na kupigwa kwa tarumbeta na kusanyiko takatifu, \v 25 Hamtafanya kazi ya kawaida, na ni lazima mtoe dhabihu inayofanywa kwa moto kwa Yahweh."