sw_lev_text_reg/22/26.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 26 Yahweh akamwambia Musa na akasema, \v 27 "Wakati ndama, mwana—kondo au mwana—mbuzi azaliwapo, sharti abaki na mama yake kwa muda wa siku saba. Ndipo kuanzia siku ya nane na kuendelea, anaweza kupokelewa kuwa dhabihu iliyofanywa kwa moto kwa Yahweh.