sw_lev_text_reg/19/35.txt

1 line
328 B
Plaintext

\v 35 Unapopima urefu, uzito, au wingi usitumie vipimo vya udanganyifu. \v 36 Tumia mizani iliyo halali, mawe ya kupimia uzito yaliyo halali, efa halali, hini iliyo halali. Mimi ndimi Yahweh Mungu wako, aliyekutoa katika nchi ya utumwa ya Misri. \v 37 Utayatii maagizo yangu na sheria zangu zote na kuzitenda. Mimi ndimi Yahweh.