sw_lev_text_reg/21/13.txt

1 line
292 B
Plaintext

\v 13 Kuhani mkuu nilazima aoe bikira kuwa mke wake. \v 14 Hataoa mjene, mwanamke mtalaka au mwanamke aliye kahaba. Anaweza kuoa mwanamke bikira kutoka kwa watu wake, \v 15 kwa hiyo asiwatia unajisi watoto wake miongoni mwa watu wake. kwa kuwa Mimi Yahweh, ndimi ninayemfanya yeye mtakatifu."