sw_lev_text_reg/04/27.txt

1 line
288 B
Plaintext

\v 27 Kama yeyote wa watu wa kawaida akitenda dhambi bila kukusudia, kufanya vitu ambavyo Bwana ameagiza kutokufanywa na kama ana hatia, \v 28 ndipo dhambi yake aliyoitenda ikajulikana kwake, ndipo ataleta mbuzi wa kike asiyekuwa na kasoro awe dhabihu kwa ajili ya dhambi zake alizotenda.