sw_lev_text_reg/03/03.txt

1 line
434 B
Plaintext

\v 3 Mtu akitoa dhabihu ya amani itolewayo kwa moto kwa ajili ya Bwana. Mafuta yanayofunika au yanayoungana na hizo sehemu za ndani, \v 4 figo mbili na mafuta yaliyofunika kiunoni na yanayozunguka ini, pamoja na figo atayatoa pamoja. \v 5 Wana wa Haruni watayachoma hayo katika madhabahu pamoja na sadaka ya kuteketezwa, juu ya kuni zilizo kwenye moto. Zitaleta harufu nzuri mbele ya Bwana; itakuwa sadaka ya itolewayo kwake kwa moto.