sw_lev_text_reg/03/01.txt

1 line
335 B
Plaintext

\c 3 \v 1 Kama mtu atatoa dhabihu ambayo ni matoleo ya amani ya mnyama kutoka katika kundi, dume au jike, lazima atatoa mnyama asiye na kasoro mbele ya Bwana. \v 2 Ataweka mikono yake juu ya sadaka yake na atamchinja mbele ya mlango wa hema ya kukutania. Kisha wana wa Haruni makuhani watanyunyizia damu yake katika pande za madhabahu.