sw_lev_text_reg/01/10.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 10 Kama sadaka kwa ajili ya sadaka ya kuteketeza kutoka kundi, kondoo au mbuzi, lazima atoe dume asiye na kasoro. \v 11 Lazima atamchinja juu ya madhabahu yaliliyo katika upande wa kaskazini mbele ya Bwana. Wana wa Haruni makuhani, watanyunyiza damu kila upande wa madhabahu.