sw_lev_text_reg/23/28.txt

1 line
216 B
Plaintext

\v 28 Hamtafanya kazi katika siku hiyo kwa sababu ni Siku ya Upatanisho, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu mbele za Yahweh Mungu wenu. \v 29 Yeyote asiyejinyenyekeza siku hiyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.