sw_lev_text_reg/26/29.txt

1 line
257 B
Plaintext

\v 29 Ndipo mtakapokula nyama ya wana wenu; mtakula nyama ya binti zenu. \v 30 Nitapaangamiza mahali penu pa juu, kuziangusha chini madhabahu zenu za kufukizia uvumba, na kuzitupa maiti zenu juu ya maiti ya sanamu zenu, na Mimi mwenyewe nitawadharau nyinyi.