sw_lev_text_reg/26/21.txt

1 line
315 B
Plaintext

\v 21 Iwapo mtataenenda kinyume changu na hamtanisikiliza mimi, nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, sawasawa na dhambi zenu. \v 22 Nitatuma wanyama wapori hatari dhidi yenu, ambao watawaibia watoto wenu, kuangamiza mifugo yenu na kuwafanya muwe wachache katika idadi yenu. Hivyo barabara zenu zitakuwa nyeupe.