sw_lev_text_reg/26/14.txt

1 line
219 B
Plaintext

\v 14 Lakini ikiwa hamtanisikiliza mimi, \v 15 na kutozitii amri hizi, na ikiwa mtayakataa maagizo yangu, na kuzichukia sana sheria zangu, kiasi kwamba hamtaweza kuzitii amri zangu zote, lakini mkalivunja agano langu—