sw_lev_text_reg/26/11.txt

1 line
338 B
Plaintext

\v 11 Nitaliweka hema langu katikati yenu, nami stachukizwa nanyi. \v 12 Nitatembea miongoni mwenu nami nitakuwa Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu. \v 13 Mimi ndimi Yahweh Mungu wenu, aliyewaleta nyinyi kutoka nchi ya Misri, ili kwamba msingeendelea kuwa watumwa wao. Nimevunja makomeo ya nira yenu na nikawafanya mtembee kwa kunyooka.