sw_lev_text_reg/26/07.txt

1 line
206 B
Plaintext

\v 7 Mtawafukuza adui zenu, nao wataanguka mbele yenu kwa upanga. \v 8 Watu wenu watano watafukuza adui mia moja, na watu wenu mia moja watafukuza adui elfu kumi; adui zenu wataanguka mbele yenu kwa upanga.