sw_lev_text_reg/26/03.txt

1 line
196 B
Plaintext

\v 3 Iwapo mtatembea katika sheria zangu na kuzishika amri zangu na kuzitii, \v 4 Nami nitawapa ninyi mvua katika majira yake; nayo nchi itatoa mazao yake, na miti ya shambani itatoa matunda yake.