sw_lev_text_reg/26/01.txt

1 line
306 B
Plaintext

\c 26 \v 1 Msijitengenezee sanamu, wala msisimamishe kinyago cha kuchonga au nguzo ya jiwe ya kuabudia, na msisimamisha sura ya jiwe la kuchonga katika nchi yenu mtakayo iinamia, kwa kuwa Mimi ndimi Yahweh Mungu wenu. \v 2 Ni lazima muitunze Sabato Yangu na kupaheshimu patakatifu pangu. Mimi ndimi Yahweh.