sw_lev_text_reg/20/24.txt

1 line
434 B
Plaintext

\v 24 Nami nikawaambia ninyi, "Mtaimiliki nchi yao, nitaitoa kwenu ili muimiliki, nchi itiririkayo maziwa na asali. Mimi ndimi Yahweh Mungu wenu, aliyewatenga nyinyi kutoka kwa watu wengine. \v 25 Ni lazima pia mtofautishe kati ya wanyama najisi na wale walio safi, na kati ya ndege walio najisi na walio safi. Msijichafue wenyewe kwa wanyama au ndege au kiumbe kitambaacho juu ya nchi kilicho najisi, ambacho nimekitenga kuwa najisi.