sw_lev_text_reg/20/08.txt

1 line
238 B
Plaintext

\v 8 Mtazitunza amari zangu na kuzifuata. Mimi ndimi Yahweh anayewatenga ninyi muwe watakatifu. \v 9 Yeyote amlaaniye baba yake au mama yake hakika mtu huyo atauawa. Amemlaani baba yake au mama yake, kwa hiyo ana hatia na anastahili kufa.