sw_lev_text_reg/20/01.txt

1 line
262 B
Plaintext

\v 1 Yahweh akazungumza na Musa, akasema, \v 2 "Waambie watu wa Waisraeli, 'mtu yeyote miongoni mwa watu Israeli, au Mgeni yeyote anayeishi miongoni mwa Waisraeli atakayemtoa mtoto wake yeyote kwa Moleki, hakika atauawa. Ni lazima watu wa nchi wamponde kwa mawe.