1 line
363 B
Plaintext
1 line
363 B
Plaintext
\v 33 Yahwe alizungumza na Musa na Haruni, akisema, \v 34 "Wakati mtakuja katika nchi ya Kanaani ambayo nimewapa kama miliki, na kama naweka ukungu unaenea ndani ya nyumba katika nchi ya miliki yenu, \v 35 ndipo yeye ambaye anamiliki nyumba ile lazima aje na kumwambia kuhani. Lazima aseme 'Inaonekana kwangu kuna kitu fulani kama ukungu ndani ya nyumba yangu.' " |