Tue Jul 12 2022 16:42:45 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-12 16:42:45 +03:00
parent 4244b97185
commit ef2e612fab
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 42 Kwa sababu wao ni watumishi wangu niliowaleta kutoka katika nchi ya Misri. Hawatauzwa kama watumwa. \v 43 Usitawale juu yao kwa ukatili, bali yakupasa kumheshimu Mungu wako. \v 44 Kwa upande wa watumwa wako wakiume na watumwa wako wa kike, unaoweza kuwapata kutok kwa mataifa yanayokuzunguka, waweza kununua watumwa kutoka kwao.
\v 42 Kwa sababu wao ni watumishi wangu niliowaleta kutoka katika nchi ya Misri. Hawatauzwa kama watumwa. \v 43 Usitawale juu yao kwa ukatili, bali yakupasa kumheshimu Mungu wako. \v 44 Kwa upande wa watumwa wako wakiume na watumwa wako wa kike, unaweza kuwapata kutok kwa mataifa yanayokuzunguka, waweza kununua watumwa kutoka kwao.

View File

@ -1 +1 @@
\v 45 Unaweza pia kununua watumwa kutoka kwa wageni wanaoishi miongoni mwenu, yaani, kutoka familia zao waliopamoja nawe, wale wtoto waliozaliwa katika nchi yako. Wanaweza kuwa mali yako. \v 46 Unaweza kuzalisha watumwa hao kama urithi kwa watoto wako baada yako, ili kuwamiliki kama mali. Kutoka kwao waweza kununua watumwa daima, lakini hamtawezi kutawala kwa ukali juu ya ndugu zenu walio miogoni mwa watu wa Israeli.
\v 45 Unaweza pia kununua watumwa kutoka kwa wageni wanaoishi miongoni mwenu, yaani, kutoka familia zao waliopamoja nawe, wale watoto waliozaliwa katika nchi yako. Wanaweza kuwa mali yako. \v 46 Unaweza kuzalisha watumwa hao kama urithi kwa watoto wako baada yako, ili kuwamiliki kama mali. Kutoka kwao waweza kununua watumwa daima, lakini hamtawezi kutawala kwa ukali juu ya ndugu zenu walio miogoni mwa watu wa Israeli.

View File

@ -386,6 +386,7 @@
"25-31",
"25-33",
"25-35",
"25-39"
"25-39",
"25-42"
]
}