Sun Jul 10 2022 03:36:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-10 03:36:22 +03:00
parent 30edad338a
commit 9a730755e3
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 33 Yule kuhani, mmoja wa wazao wa Harni, atoaye damu na mafuta ya sadaka ya amani—ni lazima atapata paja la kulia kama mgao wake wa sadaka. \v 34 Kwa kuwa nimetwaa kidari, na paja la sadaka ya kutikiswa kutoka kwa watu wa Israeli uwe mchango wao, na amepewa Aroni kuhani na wanawe kuwa mgao wao wa kawaida.
\v 33 Yule kuhani, mmoja wa wazao wa Haroni, atoaye damu na mafuta ya sadaka ya amani—ni lazima atapata paja la kulia kama mgao wake wa sadaka. \v 34 Kwa kuwa nimetwaa kidari, na paja la sadaka ya kutikiswa kutoka kwa watu wa Israeli uwe mchango wao, na amepewa Haroni kuhani na wanawe kuwa mgao wao wa kawaida.

View File

@ -1 +1 @@
\v 35 Huu ndiyo mgao wa Aroni na uzao wake utokanao na matoleo yaliyofanywa kwa Yahweh kwa moto, siku ile Musa alipowaweka wakfu ili kumtumikia Yahweh katika kazi ya kuhani. \v 36 Huu ndio mgao ambao Yahweh aliamru waweze kupewa kutoka kwa watu wa Israeli, katika siku hiyo aliyowatia mafuta ya upako wawe makuhani. Nao utakuwa mgao wao wa kila siku katika vizazi vyote.
\v 35 Huu ndiyo mgao wa Haroni na uzao wake utokanao na matoleo yaliyofanywa kwa Yahweh kwa moto, siku ile Musa alipowaweka wakfu ili kumtumikia Yahweh katika kazi ya kuhani. \v 36 Huu ndio mgao ambao Yahweh aliamru waweze kupewa kutoka kwa watu wa Israeli, katika siku hiyo aliyowatia mafuta ya upako wawe makuhani. Nao utakuwa mgao wao wa kila siku katika vizazi vyote.

View File

@ -114,6 +114,7 @@
"07-22",
"07-25",
"07-28",
"07-31"
"07-31",
"07-33"
]
}