Sat Jul 09 2022 12:42:15 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-09 12:42:15 +03:00
parent b3a4f480e7
commit 7cbee2cf03
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Sadaka ya nafaka itolewayo kwa Bwana isiwe na chachu, hautatekeza chachu wala asali kama matoleo yatakayotekezwa kwa moto kwa ajili ya Bwana. \v 12 Utayatoa kwa Bwana kama mazao ya kwanza, lakini hayatatumika kama matoleo ya harufu nzuri ya moto juu ya madhabahu. \v 13 Utaweka chumvi katika kila matoleo yako ya nafaka. Usipungukie chumvi ya agano la Bwana katika matoleo yako ya unga. Matoleo yako yote hayatapungukiwa na chumvi.
\v 11 Sadaka ya nafaka itolewayo kwa Bwana isiwe na chachu, hautateketeza chachu wala asali kama matoleo yatakayoteketezwa kwa moto kwa ajili ya Bwana. \v 12 Utayatoa kwa Bwana kama mazao ya kwanza, lakini hayatatumika kama matoleo ya harufu nzuri ya moto juu ya madhabahu. \v 13 Utaweka chumvi katika kila matoleo yako ya nafaka. Usipungukie chumvi ya agano la Bwana katika matoleo yako ya unga. Matoleo yako yote hayatapungukiwa na chumvi.