Tue Jul 12 2022 17:14:45 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-12 17:14:45 +03:00
parent c63ca2c9fa
commit 3ca7f12970
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 31 Nitaigeuza miji yennu kuwa magofu na kupaharibu patakatifu penu. Nami sitapendezwa na harufu nzuri ya matoleo yenu. \v 32 Nami nitaiharibu nchi. Adui zenu watakaokuwa wakiishi humo watashtushwa na uharibifu huo. \v 33 Nami nitawatawanya nyinyi katika mataifa, na nitaufuta upanga wangu na kuwafuatia. Nchi yenu itatelekezwa, na miji yenu itakuwa magofu.
\v 31 Nitaigeuza miji yenu kuwa magofu na kupaharibu patakatifu penu. Nami sitapendezwa na harufu nzuri ya matoleo yenu. \v 32 Nami nitaiharibu nchi. Adui zenu watakaokuwa wakiishi humo watashtushwa na uharibifu huo. \v 33 Nami nitawatawanya nyinyi katika mataifa, na nitaufuta upanga wangu na kuwafuatia. Nchi yenu itatelekezwa, na miji yenu itakuwa magofu.

View File

@ -407,6 +407,7 @@
"26-23",
"26-25",
"26-27",
"26-29"
"26-29",
"26-31"
]
}