\v 20 Ona, Yahweh, na ukumbuke hao ulio watendea haya. Wanawake wale tunda la uzazi wao, watoto walio wajali? Makuhani na manabii wa chinjwe sehemu takatifu ya Bwana?