sw_lam_text_ulb/02/13.txt

1 line
347 B
Plaintext

\v 13 Nini naeza kusema kwako, binti wa Yerusalemu? Naweza kufananisha na nini, ili ni kufariji, binti bikra wa Sayuni? Jeraha lako ni kubwa kama bahari. Nani anaweza kukuponya? \v 14 Manabii wako wameona uongo na maono batili kwa ajili yako. Hawaja weka wazi dhambi zako kurejesha mali zako, lakini kwako wametoa matamko ya uongo na ya kupotosha.