\v 64 Walipize, Yahweh, kwa kadiri ya waliyo fanya. \v 65 Hutaacha mioyo yao bila lawama! Hukumu yako iwe juu yao! \v 66 Una wakimbiza kwa hasira na kuwaharibu chini ya mbingu, Yahweh!